Madhara ya bawasiri

Last Updated on 22/09/25 by Tabibu Fadhili Paulo

MADHARA YA BAWASIRI

Zifuatazo ni athari za bawasiri kwa watu wa jinsia zote mbili:

  • Upungufu wa damu mwilini
  • Maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa
  • Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) sababu kile kinyama kinakaa kama kidonda na bila kutibika kwa muda mrefu
  • Kuishiwa hamu ya tendo la ndoa
  • Kupunguwa kwa nguvu za kiume
  • Kushuka kwa ubora wa mbegu za mwanaume
  • Kuvurugika kisaikolojia
  • Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
  • Kushuka kwa uwezo wako wa kujiamini
  • Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
Madhara ya bawasiri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to top