Bawasiri

Madhara ya bawasiri

MADHARA YA BAWASIRI Zifuatazo ni athari za bawasiri kwa watu wa jinsia zote mbili: Upungufu wa damu mwilini Maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) sababu kile kinyama kinakaa kama kidonda na bila kutibika kwa muda mrefu Kuishiwa hamu ya tendo la ndoa Kupunguwa kwa nguvu za kiume Kushuka kwa […]

Bawasiri husababishwa na nini

Bawasiri husababishwa na nini? Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ugonjwa wa bawasiri husababishwa na nini. Bawasiri ni ishara inayokuambia kwenye mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula kuna kitu hakipo sawa. Bawasiri ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Huu mfumo ukishakua mbovu unakupelekea kutokupata choo vizuri, unaanza kupata choo kigumu sana wakati mwingine unaweza […]

Bawasiri ni nini?

Bawasiri ni nini? Bawasiri ni ugonjwa gani? Bawasiri au Kikundu au Puru ni hali ya kuvimba kwa mishipa ya damu katika njia ya haja kubwa. Kwa Kiingereza hujulikana kama Hemorrhoid au Piles. Katika hatua yake ya kuonekana wazi ugonjwa hujitokeza kama uvimbe au vivimbe kadhaa kwenye maeneo ya tundu la haja kubwa. Karibu katika kila […]

Tiba ya bawasiri bila upasuaji

Tiba ya bawasiri bila upasuaji Bawasiri Dawa ya asili ya bawasiri bila upasuaji > Palimaua Matibabu ya bawasiri hutegemea na aina ya bawasiri. Mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama (upasuaji) na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula hata hivyo tiba huwa haina matokeo mazuri kwani baada ya muda tatizo hurudi tena kutokana […]

Usile vyakula hivi kama unaumwa Bawasiri

Usile vyakula vifuatavyo kama unaumwa Bawasiri Unapoumwa bawasiri unapaswa kuwa makini sana juu ya chakula unachokula na vinywaji unavyokunywa kila siku kwani vinao uwezo wa kurahisisha au kukwamisha matibabu kwako. Siri iliyopo katika kupunguza au kuitibu bawasiri ipo kwenye vyakula hasa vyakula ambavyo vinaweza kukusaidia usipate choo kigumu au usikose kabisa choo. Usikubali siku nzima […]

Hadithi 8 za uongo kuhusu bawasiri

Hadithi 8 za uongo kuhusu bawasiri Hadithi namba 1: Ukiugua bawasiri hata ukipona utarudia kuugua tena na tena. Ukweli ni upi: Madai haya hayana ukweli wowote hasa kwa yule ambaye amepata ugonjwa huu kwa sababu za muda mfupi tu kama vile ujauzito. Kwa kawaida ukitibiwa ugonjwa huu na ukapona kitakachosababisha upate tena ugonjwa huu ni kutokuzingatia […]

tabia 7 zinazokuchelewesha kupona bawasiri

Tabia 7 zinazokuchelewesha kupona bawasiri 1. Kutokunywa maji ya kutosha kila siku Tafiti zinasema kutokunywa maji ya kutosha kila siku kunaweza kukuletea ugonjwa wa bawasiri. Kama haunywi maji mengi ya kutosha kila siku ni rahisi sana wewe kupatwa na tatizo la kufunga choo au kupata choo kigumu kila mara na mwisho wake ni bawasiri. Maji […]

Kwanini mgonjwa wa bawasiri unashauriwa kuacha kunywa pombe

Kwanini mgonjwa wa bawasiri unashauriwa kuacha kunywa pombe Moja ya magonjwa yanayoendelea kusumbua watu ni ugonjwa wa bawasiri. Baada ya u.t.i, vidonda vya tumbo, ugonjwa wa tatu unaotesa watu wengi duniani kwa sasa ni ugonjwa wa bawasiri. Shida iliyopo ni kuwa ugonjwa huu upo sehemu mbaya na wengi huona aibu kujieleza kuwa wanaumwa bawasiri na […]

Chakula cha mgonjwa wa bawasiri

Chakula cha mgonjwa wa bawasiri Mgonjwa wa bawasiri unashauriwa kuwa makini sana na chakula unachokula kila siku. Chakula na vinywaji unavyotumia kila siku vina mchango mkubwa katika kukusaidia kupona ugonjwa huu unaosumbuwa maelfu ya watu miaka ya sasa kote duniani. Chakula cha mgonjwa wa bawasiri kinafaa kifanane na kile cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo. […]

Scroll to top