Last Updated on 22/09/25 by Tabibu Fadhili Paulo
MADHARA YA BAWASIRI
Zifuatazo ni athari za bawasiri kwa watu wa jinsia zote mbili:
- Upungufu wa damu mwilini
- Maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa
- Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) sababu kile kinyama kinakaa kama kidonda na bila kutibika kwa muda mrefu
- Kuishiwa hamu ya tendo la ndoa
- Kupunguwa kwa nguvu za kiume
- Kushuka kwa ubora wa mbegu za mwanaume
- Kuvurugika kisaikolojia
- Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
- Kushuka kwa uwezo wako wa kujiamini
- Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu