Aina za bawasiri
Aina za bawasiri Bawasiri imegawanyika mara 2. Kuna bawasiri ya ndani na bawasiri ya nje 1. Bawasiri ya ndani – Hii ni bawasiri ambayo inajitokeza ndani ya mfereji wa haja kubwa na kwa kawaida mgonjwa anaweza asihisi maumivu yoyote hivyo huwafanya watu wengi kutotambua kuwa wana ugonjwa huu. Bawasiri ya ndani nayo imegawanyika katika […]