Dalili za bawasiri
Dalili za bawasiri Bawasiri dalili zake zinaweza kufanana kidogo na dalili za mtu anayeanza kuumwa vidonda vya tumbo. Nazo ni pamoja na zifuatazo : 1. Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa 2. Kinyesi kunuka damu wakati wa kujisaidia 3. Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa 4. Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la […]