Hadithi 8 za uongo kuhusu bawasiri
Hadithi 8 za uongo kuhusu bawasiri Hadithi namba 1: Ukiugua bawasiri hata ukipona utarudia kuugua tena na tena. Ukweli ni upi: Madai haya hayana ukweli wowote hasa kwa yule ambaye amepata ugonjwa huu kwa sababu za muda mfupi tu kama vile ujauzito. Kwa kawaida ukitibiwa ugonjwa huu na ukapona kitakachosababisha upate tena ugonjwa huu ni kutokuzingatia […]