Madhara ya bawasiri
MADHARA YA BAWASIRI Zifuatazo ni athari za bawasiri kwa watu wa jinsia zote mbili: Upungufu wa damu mwilini Maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) sababu kile kinyama kinakaa kama kidonda na bila kutibika kwa muda mrefu Kuishiwa hamu ya tendo la ndoa Kupunguwa kwa nguvu za kiume Kushuka kwa […]