Last Updated on 22/09/25 by Tabibu Fadhili Paulo
Tiba ya bawasiri bila upasuaji

Dawa ya asili ya bawasiri bila upasuaji > Palimaua

Matibabu ya bawasiri hutegemea na aina ya bawasiri.
Mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama (upasuaji) na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula hata hivyo tiba huwa haina matokeo mazuri kwani baada ya muda tatizo hurudi tena kutokana na ukweli kuwa wanakuwa hawajatibu chanzo cha tatizo.
Hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayotibu chanzo cha tatizo ndani ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula huku ukiendelea na tiba ya chakula.
Jambo la kwanza kabla ya tiba mgonjwa anapaswa kutibiwa tatizo la kutopata choo vizuri ikiwa analo kwa sababu hali hii huzidisha ugonjwa wa bawasiri.
Mgonjwa wa bawasiri pia aepuke kula nyama hasa ya ngombe, pilipili, maziwa na vitu vikali.
Palimaua ni dawa ya bawasiri bila upasuaji ya asili ambayo:
- Inarekebisha matatizo yoyote kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Inauongezea kasi mfumo wa mmeng’enyo wa chakula
- Ina nyuzinyuzi (faiba) nyingi ambayo ni mhimu kwa mtu yeyote anayesumbuliwa na bawasiri
- Inatibu aina zote za bawasiri
- Inaondoa tatizo la kufunga choo na kupata choo kigumu
- Pole pole kadri unavyoendelea kuitumia inaondoa kinyama kinachojitokeza sehemu ya haja kubwa kama matokeo ya bawasiri
- Inatibu pia vidonda vya tumbo
- Ni dawa nzuri dhidi ya bakteria, virusi na vijidudu nyemelezi sifa ambazo zinayafanya kuwa bora kwa kutibu bawasiri.
Bawasiri huwa haiponi haraka, dozi yake yaweza kuchukua mwezi mmoja mpaka miezi kadhaa kutegemea na tatizo lenyewe limeshadumu kwako kwa muda gani.
Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili.
Kama unahitaji Palimaua kwa ajili ya kutibu kabisa Bawasiri ya ndani au ya nje, niachie ujumbe WhatsApp +255714800175.
Palimaua Inagharimu 55000 (elfu 55) ni ya kunywa kwa siku 30.
Naitwa Fadhili Paulo ni Tabibu wa tiba asili, nauza dawa za Asili. Nipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni.
Kwa Dar Es Salaam tunaweza pia kukuletea mpaka ulipo kama utataka, hakuna gharama ya nauli (ni free delivery popote ndani ya Dar).
Natuma pia popote ulipo nje ya Dar Es Salaam ndani ya Tanzania.
Kama umependezwa na makala hii tumia batani za kijamii hapa chini share na wengine uwapendao.