Dawa ya kupevusha mayai na kuweka sawa homoni

Original price was: Sh 120,000.Current price is: Sh 70,000.

Dawa ya kupevusha mayai ya uzazi na kuweka sawa homoni > Macca

Macca ni dawa ya asili kwa ajili ya kuimarisha afya ya mayai yako na kuweka sawa homoni.

Mtishamba huu una madini tofauti tofauti mhimu 31 na viinilishe vingine mhimu kwa ajili ya mwili zaidi ya 60.

Ni dawa imetumika kwa maelfu ya miaka katika tamaduni za kiarabu, kichina na kihindi kutibu maradhi mbalimbali mwilini ikiwemo kuongeza afya ya mayai ya uzazi.

Inaaminika maca huongeza wingi wa mbegu za kiume na kuimarisha afya ya mayai ya uzazi kwa mwanamke.

Ni dawa inayotumika pia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wote mwanamke na mwanaume.

Maca ni dawa nzuri ya asili isiyo na madhara kwa ajili ya mfumo wote wa tezi na huzisaidia moja kwa moja tezi mhimu zinazohusika katika kuweka sawa homoni ambazo ni pituitari (pituitary), adrenalini (adrenal), na tezi dundumio (thyroid glands).

Kile pengine ulikuwa hujuwi ni kuwa Maca inayo uwezo wa kuweka sawa homoni kwa watu wa jinsia zote mbili yaani kwa mwanamke na kwa mwanaume bila maca yenyewe kuwa na homoni ndani yake!

Maca imekuwa ikifanyiwa utafiti na majaribio ya kisayansi juu ya uwezo wake wa kuongeza afya ya uzazi kwa jinsia zote mbili tangu mwaka 1961 na imeonekana kuwa na viinilishe mhimu sana kwa kuimarisha afya ya uzazi vijulikanavyo kwa kitaalamu kama ‘glucosinolates’.

Glucosinolates ndivyo vinasemwa vinaipa maca uwezo wa kuweka sawa homoni na kuimarisha na kukomaza mayai kwa mwanamke.

Maca inaimarisha nguvu, inaongeza stamina na kuleta utulivu wa akili (mental clarity).

Maca inayo sifa ya kuungezea nguvu mfumo wako wa kinga ya mwili (adaptogenic properties)na huusaidia mwili kuwa na uwezo wa kupigana na magonjwa, kupunguza msongo wa mawazo (stress).

Sisi sote tunatambua kwamba msongo yaani stress ndiyo sababu kuu ya kwanza ya watu wengi kuvurugikiwa homoni zao na kuleta hali kushindwa kupata ujauzito kwa urahisi.

Kwa wanawake macca inasaidia mwili kuweka sawa homoni za ‘estrogen’ na ‘progesterone’.

Homoni hizi mbili zinapokuwa juu au chini ya usawa wao unaotakiwa zinaweza kupelekea mwanamke kushindwa kubeba ujauzito au kubeba ujauzito na ujauzito huo kutoka.

Estrogen ikiwa nyingi kupita kiwango chake kinachohitajika na mwili inasababisha progesterone kushuka chini sana ya kiasi chake kinachohitajika na mwili na hali hii hujulikana kwa kitaalamu kama ‘estrogen dominance’.

Unapotumia macca itakusaidia kuweka sawa usawa unaohitajika na mwili kati ya estrogen na progesterone jambo ambalo ni mhimu ili kufanikisha utungwaji wa mimba na ujauzito usio na matatizo.

Kwa wanaume inapotokea homoni ya estrogen ipo juu sana zaidi ya inavyohitajika na mwili inaleta matatizo ya upungufu wa nguvu, kukosa hamu ya tendo na mbegu kuwa chache.

Kwa mjibu wa utafiti mmoja uliofanywa na chuo kikuu cha Michigan ulionyesha kuwa wanaume wanaotumia macca wanakuwa na muongezeko wa nguvu na stamina na mbegu zao zilikuwa na afya zaidi.

Kwenye utafiti mwingine kwa panya, watafiti waliwapa macca panya wakike na wa kiume na iligundulika panya wa kike wanatoa mayai mawili mawili na wale wa kiume walionyesha mbegu zao kuongezeka mara dufu.

Hii ndiyo sababu macca inaaminika ni moja ya dawa za asili zinazoweza kukusaidia kubeba mimba ya watoto mapacha.

Unaweza kupata mizizi ya macca katika mfumo wa vidonge au unga.

Kama utahitaji dawa hii kwa ajili ya kupevusha mayai ya uzazi na kuweka sawa homoni niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175 na kama huna WhatsApp unaweza kupiga simu ya kawaida.

Mimi Napatikana Kibugumo Mji Mwema Kigamboni, ofisi yangu inaitwa Tumaini Herbal Life, naweza pia kukuletea ulipo kama utataka popote ndani ndani ya Dar hatuchaji gharama ya usafiri.

Natuma pia popote ulipo nje ya Dar na unalipa baada ya kupata dawa mkononi, pia kama una ndugu au rafiki yako hapa Dar unaweza kuniunganisha naye nimpe akutumie yeye.

Macca inagharimu 70000/=(elfu 70) ya kunywa siku 30.

Ukinunua dawa hii kutoka kwangu utapata na faida zifuatazo BURE;

1. Utakuwa ni rafiki yangu
2. Nitakuwa karibu na wewe mwanzo mwisho, napatikana WhatsApp na unaweza kuchat na mimi mwenyewe live (siyo wasaidizi wangu) toka popote ulipo. Sehemu zingine mkinunua dawa hampewi namba ya tabibu lakini mimi nipo na wewe wakati wote.
3. Nitakufundisha BURE vinywaji na vyakula vya kuacha kutumia ili kuongeza uwezo wako binafsi wa kuimarisha afya yako ya mayai na kuweka sawa homoni nje ya dawa.
4. Nitakufundisha BURE vinywaji na vyakula vya kupendelea kuvitumia zaidi kwenye milo yako ya kila siku ili kuongeza uwezo wako binafsi wa kuimarisha afya yako ya mayai na kuweka sawa homoni nje ya dawa.

Ninayo pia dawa nyingine ya asilli kwa ajili ya kuondoa uvimbe kwenye kizazi, kurekebisha mzunguko wa hedhi, kuondoa maumivu wakati wa hedhi, kuzibua mirija ya Uzazi na kukusaidia kupata ujauzito haraka.

Category:

Dawa ya kupevusha mayai ya uzazi na kuweka sawa homoni

Kama mwanamke, afya nzuri ya mayai ya uzazi ni mhimu kwa ajili ya kuwa na mzunguko mzuri wa hedhi na kuwa na uwezo wa kushika ujauzito.

Je ni dawa gani nzuri ya asili kwa ajili ya kuongeza afya ya mayai yako ya uzazi na kuweka sawa homoni?

Makala hii inajadili hilo kwa kina.

Naitwa Fadhili Paulo ni Tabibu wa Tiba Asili, nipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni Dar Es Salaam.

Endelea kusoma ….

Pamoja na dawa, bado kutakuwa na mabadiliko utakayotakiwa kuyafanya hasa upande wa vyakula ili kuongeza uwezekano wa tatizo lako kuisha kwa haraka na kwa uhakika na hivyo kuongeza uwezekano wa wewe kupata ujauzito.

Hapo kabla iliaminika kwamba wanawake huzaliwa na mayai yote ya uzazi na kwamba mwili hauendelei kuyazalisha mengine.

Miaka ya karibuni imegundulika katika tafiti mbalimbali kwamba seli ndani ya ovari za mwanamke zinaendelea kuzalisha mayai mengine mapya katika mzunguko wa miaka ya uzazi.

Umri unabaki kitu mhimu sababu ingawa mwili wako unaendelea kuzalisha mayai mapya bado mji wako wa uzazi utaendelea kuwa na mazingira yasiyo rafiki kwa afya bora ya mayai kadri umri wako unavyozidi kuongezeka

Kama umekuwa ukiambiwa uwezekano wako wa kupata ujauzito ni mdogo sababu mayai yako yamezeeka basi hilo lisikutishe sababu bado mwili wako unaendelea kuzalisha mayai mengine mapya kila mara na hivyo bado kuna tumaini kwako.

Ni mhimu kula mlo sahihi na kufanya mabadiliko chanya ya kitabia ili kuvutia upevukaji mzuri wa mayai yako.

Inachukua siku 90 mpaka yai liwe limezalishwa na kuundwa tayari kwa kurutubishwa.

Hii ndiyo sababu hatua zozote utakazochukua kuimarisha afya na kukomaa kwa mayai yako lazima zidumu kwa muda mrefu si chini ya miezi mitatu mpaka uone matokeo chanya na mazuri.

Wakati mayai yako yanajiandaa kwa ajili ya kurutubishwa yanaweza kuathiriwa ubora wake na mambo mengi yanayohusiana na hali ya afya yako ya sasa.

SABABU ZA KUTOPEVUKA KWA MAYAI YA UZAZI:

Mara nyingi mayai kutopevuka husababishwa na mabadiliko katika homoni ya ‘estrogen’.

Mabadiliko haya mara nyingi hutokea wakati wa kuvunja ungo, wakati wa hedhi, wakati wa ujauzito na wakati wa ukomo wa hedhi (menopause).

Vitu vingine vinavyopelekea mayai kutopevuka ni pamoja na

1. Kuongezeka umri
2. Lishe duni
3. Kutokujishughulisha na mazoezi
4. Kupungua kwa ogani ya adreno
5. Mfadhaiko (stress)
6. Kukosa usingizi
7. Dawa za uzazi wa mpango

Dawa ya kupevusha mayai ya uzazi na kuweka sawa homoni > Macca

Macca ni dawa ya asili kwa ajili ya kuimarisha afya ya mayai yako na kuweka sawa homoni.

Mtishamba huu una madini tofauti tofauti mhimu 31 na viinilishe vingine mhimu kwa ajili ya mwili zaidi ya 60.

Ni dawa imetumika kwa maelfu ya miaka katika tamaduni za kiarabu, kichina na kihindi kutibu maradhi mbalimbali mwilini ikiwemo kuongeza afya ya mayai ya uzazi.

Inaaminika maca huongeza wingi wa mbegu za kiume na kuimarisha afya ya mayai ya uzazi kwa mwanamke.

Ni dawa inayotumika pia kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wote mwanamke na mwanaume.

Maca ni dawa nzuri ya asili isiyo na madhara kwa ajili ya mfumo wote wa tezi na huzisaidia moja kwa moja tezi mhimu zinazohusika katika kuweka sawa homoni ambazo ni pituitari (pituitary), adrenalini (adrenal), na tezi dundumio (thyroid glands).

Kile pengine ulikuwa hujuwi ni kuwa Maca inayo uwezo wa kuweka sawa homoni kwa watu wa jinsia zote mbili yaani kwa mwanamke na kwa mwanaume bila maca yenyewe kuwa na homoni ndani yake!

Maca imekuwa ikifanyiwa utafiti na majaribio ya kisayansi juu ya uwezo wake wa kuongeza afya ya uzazi kwa jinsia zote mbili tangu mwaka 1961 na imeonekana kuwa na viinilishe mhimu sana kwa kuimarisha afya ya uzazi vijulikanavyo kwa kitaalamu kama ‘glucosinolates’.

Glucosinolates ndivyo vinasemwa vinaipa maca uwezo wa kuweka sawa homoni na kuimarisha na kukomaza mayai kwa mwanamke.

Maca inaimarisha nguvu, inaongeza stamina na kuleta utulivu wa akili (mental clarity).

Maca inayo sifa ya kuungezea nguvu mfumo wako wa kinga ya mwili (adaptogenic properties)na huusaidia mwili kuwa na uwezo wa kupigana na magonjwa, kupunguza msongo wa mawazo (stress).

Sisi sote tunatambua kwamba msongo yaani stress ndiyo sababu kuu ya kwanza ya watu wengi kuvurugikiwa homoni zao na kuleta hali kushindwa kupata ujauzito kwa urahisi.

Kwa wanawake macca inasaidia mwili kuweka sawa homoni za ‘estrogen’ na ‘progesterone’.

Homoni hizi mbili zinapokuwa juu au chini ya usawa wao unaotakiwa zinaweza kupelekea mwanamke kushindwa kubeba ujauzito au kubeba ujauzito na ujauzito huo kutoka.

Estrogen ikiwa nyingi kupita kiwango chake kinachohitajika na mwili inasababisha progesterone kushuka chini sana ya kiasi chake kinachohitajika na mwili na hali hii hujulikana kwa kitaalamu kama ‘estrogen dominance’.

Unapotumia macca itakusaidia kuweka sawa usawa unaohitajika na mwili kati ya estrogen na progesterone jambo ambalo ni mhimu ili kufanikisha utungwaji wa mimba na ujauzito usio na matatizo.

Kwa wanaume inapotokea homoni ya estrogen ipo juu sana zaidi ya inavyohitajika na mwili inaleta matatizo ya upungufu wa nguvu, kukosa hamu ya tendo na mbegu kuwa chache.

Kwa mjibu wa utafiti mmoja uliofanywa na chuo kikuu cha Michigan ulionyesha kuwa wanaume wanaotumia macca wanakuwa na muongezeko wa nguvu na stamina na mbegu zao zilikuwa na afya zaidi.

Kwenye utafiti mwingine kwa panya, watafiti waliwapa macca panya wakike na wa kiume na iligundulika panya wa kike wanatoa mayai mawili mawili na wale wa kiume walionyesha mbegu zao kuongezeka mara dufu.

Hii ndiyo sababu macca inaaminika ni moja ya dawa za asili zinazoweza kukusaidia kubeba mimba ya watoto mapacha.

Unaweza kupata mizizi ya macca katika mfumo wa vidonge au unga.

Kama utahitaji dawa hii kwa ajili ya kupevusha mayai ya uzazi na kuweka sawa homoni niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175 na kama huna WhatsApp unaweza kupiga simu ya kawaida.

Mimi Napatikana Kibugumo Mji Mwema Kigamboni, naweza pia kukuletea ulipo kama utataka popote ndani ya Dar hatuchaji gharama ya usafiri.

Macca inagharimu 70000/=(elfu 70) ya kunywa siku 30.

Ukinunua dawa hii kutoka kwangu utapata na faida zifuatazo BURE;

1. Utakuwa ni rafiki yangu

2. Nitakuwa karibu na wewe mwanzo mwisho, napatikana WhatsApp na unaweza kuchat na mimi mwenyewe live (siyo wasaidizi wangu) toka popote ulipo. Sehemu zingine mkinunua dawa hampewi namba ya tabibu lakini mimi nipo na wewe wakati wote.

3. Nitakufundisha BURE vinywaji na vyakula vya kuacha kutumia ili kuongeza uwezo wako binafsi wa kuimarisha afya yako ya mayai na kuweka sawa homoni nje ya dawa.

4. Nitakufundisha BURE vinywaji na vyakula vya kupendelea kuvitumia zaidi kwenye milo yako ya kila siku ili kuongeza uwezo wako binafsi wa kuimarisha afya yako ya mayai na kuweka sawa homoni nje ya dawa.

Ninayo pia dawa nyingine ya asilli kwa ajili ya kuondoa uvimbe kwenye kizazi, kurekebisha mzunguko wa hedhi, kuondoa maumivu wakati wa hedhi, kuzibua mirija ya Uzazi na kukusaidia kupata ujauzito haraka.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Dawa ya kupevusha mayai na kuweka sawa homoni”

Your email address will not be published. Required fields are marked *