Dalili 17 za vidonda vya tumbo
Dalili 17 za vidonda vya tumbo Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na: Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali. Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo…






